SULUHISHA NA BRELA YAZIDI KUWAIBUA WAMILIKI WA KAMPUNI



                                    **********

Maafisa kutoka wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wakiendelea kusikiliza, kutoa ushauri na kutatua migogoro ya wamiliki wa kampuni mbalimbali wanaojitokeza kwa wingi katika wiki ya Suluhisha na BRELA, inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, mtaa wa Shaaban Robert, mkabala na Chuo cha Usimamizi wa Fedha( IFM), Jijini Dar es salaam. Huduma hii itaendelea hadi tarehe 19 Juni, 2022

Post a Comment

Previous Post Next Post