TANAPA WAKIKIMBIA MBIO ZA KILOMETER TANO KWENYE MASHINDANO YA RIADHAA YALIPEWA JINA LA SAME RHINO FUNRUN

 

wadau mbali mbali wakijitokeza kumuunga mkono mkuu wa wilaya ya Same katika mbio za kilometer 5 had 10 lengo ni kutangaza utarihi wa wilaya ya same kama mbuga za wanyama mkomazi na milima ya shengena yenye vivutio tofauti vinapatika katika wilaya hiyo 

Mtendaji Mkuu wa Tanapa   William Mwakilema  wa pili kulia akikimbia  mbio za kilometer tano baada ya kuzindua mbio hizi rasmi kwenye mashindano ya riadhaa yalipewa jina la Same rhino fun run. lengo kubwa ni kutangaza vivutio vya utarihi wa ndani katika Wilaya ya Same Mkoni kilimanjaro. (kushoto) ni Mkuu wa wilaya ya korogwe Basila mwanukuzi  anaye mfata ni Mkuu wa wilaya ya Same Edward Mpogoro sherehe hizo zimefanyika katika mbuga ya Mkomazi na kujionea vivutio mbali mbali vya utarihi katika wilaya ya Same 

Mkuu wa wilaya ya Same Edward Mpogoro akiwashukuru wadau mbali mbali waliochangia na kutitokeza kwa  kuamasisha mbio hizo na kutangaza vivutio vya utarihi katika wilaya yake. na kuwataka wananchi wote kwa ujumla kumuunga mkono Raisi wetu wa nchi Mama Samia Hassan. kushirikiana naye kwa pamoja lengo ni kuijenga nchi yetu na kutangaza utarihi wetu wa nchi picha na Ashrack Miraji.

Post a Comment

Previous Post Next Post