TASAC Yang'ara Tuzo Za NBAA Kushika Nafasi Ya Kwanza

 


 Mhasibu Mkuu wa Serikali wa Wizara ya Fedha na Mipango  Leonard Mkuu akimkabidhi tuzo Mkurugenzi Mkuu wa TASAC  Abdul Mkeyenge kwa TASAC  kushika nafasi ya kwanza ya mashindano ya uandaaji na kuwasilisha taarifa za mahesabu ya ukaguzi 2020/2021 kwa mamlaka za udhibiti Tanzania  ambapo Mkurugenzi Mkuu amesema anashukuru kwa TASAC kungara katika tuzo hizo kutokana timu yake kujipanga na kuandaa hesabu zao vizuri na kusema wataendelea kushikilia rekodi hiyo kwa mwaka ujao.

Picha ya pamoja ya washindi mbalimba za Tuzo za NBAA zilizofanyika jijini Dar es Salaam .


Picha mbalimbali  za timu ya TASAC katika utoaji wa tuzo za NBAA zilizofanyika

Post a Comment

Previous Post Next Post