TAARIFA KWA UMMA
*KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA RUVU HADI KISARAWE*
30.9.2021
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam *(DAWASA)* inawatangazia Wateja na wananchi wanao hudumiwa na mtambo wa uzalishaji Maji Ruvu Juu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa Huduma ya kesho tarehe 01/10/2021 kwa muda wa saa 18 kuanzia saa 6 usiku huu.
*Sababu*: Kuruhusu matengenezo katika Bomba la Inchi 36 eneo la Mlandizi kwa Mjale.
Maeneo yatakayoathirika ni pamoja na;
*Ruvu Darajani, Ruvu JKT, Mlandizi, Mbwawa, Visiga, Maili 35, Misugusugu, Kongowe, Sofa, Miembe Saba, Disunyara, Kwa Mfipa, Mwendapole, Tanita, Kwa Mathias, Kwa Mbonde, Picha ya Ndege, Lulanzi, Kibaha, Kiluvya, Kibamba, Mbezi Magari Saba, Mbezi Inn, Mbezi, Kimara, Tabata, Kinyerezi, Bonyokwa, Kisukuru, Kiwalani, Airport, Ukonga, Msigani, Maramba Mawili, Kimara B, Kimara Korogwe, Bucha, Baruti, Ubungo, Pugu, Gongo la Mboto na Kisarawe*
Wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja *0800110064* (bure) au
*0735 202-121*(WhatsApp tu)
Tovuti: www.dawasa.go.tz
Mitandao ya kijamii.
Facebook: https://www.facebook.com/pg/Dawasaofficial/posts/
Instagram: https://instagram.com/dawasatz?utm_medium=copy_link
Twitter: https://twitter.com/dawasatz?s=08
YouTube: https://youtube.com/channel/UCCVyHKIvUwDFG1tUyWhd7fQ
Imetolewa na
*Kitengo cha Mawasiliano na Jamii*
