MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA KONGAMANO LA MAZINGIRA

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiwasilisha mada wakati wa Kongamano la Mazingira ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021. 

Washiriki wakifuatilia Kongamano la Mazingira ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021.

Viongozi mbalimbali, wadau na washiriki wakifuatilia Kongamano la Mazingira ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021. 

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Mohammed Khamis Abdulla akifunga Kongamano la Mazingira ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021. 

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiwasilisha mada wakati wa Kongamano la Mazingira ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021. 

Washiriki wakifuatilia Kongamano la Mazingira ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

Post a Comment

Previous Post Next Post