WAZIRI NDUMBARO APOKEA TAARIFA YA UBADHILIFU WA FEDHA BODI YA UTALII TANZANIA (TTB)

 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Allan Kijazi (wa pili kushoto)  wakipokea  Taarifa ya Kamati iliyoundwa mwezi April mwaka huu kuchunguza tuhuma za Ubadhirifu wa fedha pamoja na masuala ya Rasilimali Watu zinazoikabili Bodi ya Utalii  (TTB) iliyopelekea Mkurugenzi Mkuu wa TTB, Devotha Mdachi kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi na kupekelea kuundwa kwa  Kamati hiyo ikiongozwa na  Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Bw. John Mtega ( wa pili kulia), Makabidhiano hayo yamefanyika jana Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (kushoto) akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Allan Kijazi Taarifa ya Kamati iliyoundwa mwezi April mwaka huu  kuchunguza tuhuma za Ubadhirifu wa fedha pamoja na masuala ya Rasilimali Watu zinazoikabili Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)  iliyopelekea Mkurugenzi Mkuu wa TTB, Devotha Mdachi kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi , Taarifa hiyo imekabidhiwa jana Jijini Dar es Salaam kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Kijazi kwa ajili ya kufanyiwa kazi.

Post a Comment

Previous Post Next Post