TTB NA NMB KUSHIRIKIANA KUTANGAZA UTALII WA NDANI

 

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imefanya mkutano na Bank ya NMB kwa lengo la kushirikiana katika kutangaza utalii wa ndani na kuhamasisha watalii kutoka kwenye masoko mengine makubwa ya utalii duniani kuja kuvitembelea vivutio vya utalii vya Tanzania. Mkutano huo umefanyika leo tarehe 31/5/2021 katika ofisi ya NMB Bank Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

Katika Picha ya pamoja, Maafisa wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) pamoja na maafisa wa NMB baada ya kumaliza kikao.

Post a Comment

Previous Post Next Post