TANESCO WAKABIDHI MSAADA WA VIFAA TIBA WODI YA WATOTO HOSPITALI YA MKOA WA TANGA BOMBO

Mshauri
wa Mkuu wa Shirika na Katibu wa
Sheria wa Shirika la Umeme la TANESCO  Wakili Amosi M.Ndegi kulia
akimkabidhi vifaa tiba kwa ajili ya wodi ya watoto Muuguzi
Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo   Bi.Beatrice
Rimoy  katika halfa iliyofanyika leo Hospitalini hapo vufaa hivyo vina
thamani ya Milioni 4

Mshauri
wa Mkuu wa Shirika na Katibu wa
Sheria wa Shirika la Umeme la TANESCO  Wakili Amosi M.Ndegi kulia
akimkabidhi vifaa tiba kwa ajili ya wodi ya watoto Muuguzi
Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo   Bi.Beatrice
Rimoy  katika halfa iliyofanyika leo Hospitalini hapo vifaa hivyo vina

Muuguzi
Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo   Bi.Beatrice
Rimoy  kushoto akiangalia vifaa tiba alivyokabidhiwa leo na Mshauri wa
Mkuu wa Shirika na Katibu wa
Sheria wa Shirika la Umeme la TANESCO  Wakili Amosi M.Ndegi  kwa ajili
ya wodi ya watoto Hospitalini hapo vifaa hivyo vina thamani ya Milioni 4

Mshauri
wa Mkuu wa Shirika na Katibu wa
Sheria wa Shirika la Umeme la TANESCO  Wakili Amosi M.Ndegi akizungumza
na waandishi wa habari ambao hawapo pichani mara baada ya kukabidhi
vifaa hivyo vyenye thamani ya Milioni 4
Sehemu ya Msaada ambao ulitolewa

SHIRIKA la Umeme nchini TANESCO leo wametoa msaada wa
vifaa tiba kwenye wodi ya watoto kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa
Tanga Bombo vyenye thamani ya Milioni 4 kwa ajili ya kuwasaidia watoto.

Vifaa
hivyo vimekabidhiwa leo na Mshauri wa Mkuu wa Shirika na Katibu wa
Sheria wa Shirika la Umeme la TANESCO  Wakili Amosi M.Ndegi,kwa Muuguzi
Mfawidhi wa Hospitali hiyo  Bi.Beatrice Rimoy
Akizungumza
mara baada ya kukabidhi msaada huo, Wakili Amosi alisema wameona ipo
haja ya kutoa msaada wa vifaa tiba kwa watoto kwenye hospitali  hiyo
ikiwa ni sehemu yao ya kurudisha kwa jamii.
“Tumeona
ipo haja ya kutoa msaada huu wa vifaa tiba kwa watoto kwenye hospitali
hii kama sehemu ya kurudisha kwa jamii na tunaimani vitatumika kama
ilivyokusudiwa”Alisema
Alisema
kwa kawaida  shirika hilo limekuwa na utamaduni wa kufanya mkutano ya
Kiidara au watu wenye taaluma moja wanaofanya kazi pamoja kwenye shirika
kipindi hiki wapo Tanga wao  kama Idara ya Ukatibu wa Sheria
inayohusisha wanasheria na maafisa usalama wa Shirika hilo lengo ni
kufanya tathimini ya malengo waliokuwa nayo katika utendaji wa shughuli
za kawaoda za kila siku kwenye shirika hilo mwaka mzima.
“Tupo
hapa Tanga wiki nzima tukijadili mafanikio na changamoto ili kupata
namna nzuri ya utendaji kuboresha huduma inayotolewa na shirika la Umema
Tanzania kwa jamii watu wengi wanadhani TANESCO  ni Shirika la
Kibiashara ,lakini hapana tupo kuhuduma zaidi na ndio maana leo tupo
hapa tukiwezesha huduma ya watoto Hospitalini lakini pia hata bei ya
Umeme vijijini sasa ni elfu 27000,badala ya laki tatu (300,000) na hii
pia ipo kihuduma zaidi kuhakikisha wananchi wote wanamudu gharama za
kuunganisha Umeme”Alisema
Alisema
pia wanaziangalia changamoto zinazowakabili ili kutafuta majibu na
utatuzi wake kwa lengo la kurahisisha na kuboresha mazingira na hari kwa
watendaji walionao.
“Lengo
letu kubwa kuwepo hapa ni kwamba tulikuwa na jukwaa la Idara ya Katibu
wa Shirika,ambayo hukutana   kila mwaka kuzungumzia tathimini na
changamoto za utendaji kazi zetu ndani ya Shirika,na kwa kuhitimisha
kikao chetu leo, TANESCO  kama sehemu ya jamii   tumeona ipo haja ya
kutoa msaada wa vifaa tiba kwa watoto Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo
“Alisema
Awali
akizungumza mara baada ya kupokea msaada huo Afisa Muuguzi Mfawidhi wa
Hospitali ya Mkoa wa Tanga Beatrice Rimoy amelishukuru Shirika la Umeme
nchini Tanesco kwa msaada huo ambao ulikuwa ni uhitaji mkubwa wa watoto .
Alisema
na mahitaji yao yamegawanyika kwenye maeneo matatu ikiwemo watoto
wadogo sana waliozaliwa chini ya mwezi mmoja ,waliozaliwa ambao
hawajafika umri wa mwezi mmoja,wana wodi ya watoto wa mwezi mmoja mpaka
miaka 10 ikiwemo watoto wenye magonjwa mbalimbali ikiwemo ya kuambukiza ,
kuharisha na matumbo hivyo msaada huu ambao utasaidia kuwahudumia
watoto hao.
Naye kwa upande wake Daktari wa wodi ya watoto kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo Dkt Tumaini Mchiiyo- amelishukuru shirika hilo kwa kuwapa vifaa ambavyo vitawasaidia sana watoto wenye changamoto mbalimbali na hivyo kuwezesha watoto kupata tiba iliyoboreshwa zaidi wawapo
hospitalini

Post a Comment

Previous Post Next Post