TBS YAENDELEA KUFANYA UKAGUZI WA MAJENGO YA BIDHAA ZA CHAKULA NA KUANGALI MUDA WA MATUMIZI YA BIDHAA WILAYANI MONDULI

 

Mkaguzi wa TBS Bw. Anderson Msumanje akifanya ukaguzi wa bidhaa za Chakula pamoja na kuangalia muda wa matumizi katika eneo la Makuyuni Mjini wilaya ya Monduli mkoani Arusha.
Wanatoa wito kwa wananchi kuepuka kununua bidhaa ambazo hazina mwisho wa matumizi na wafanyabiashara kusajili bidhaa za vipodozi na chakula kabla ya kuviingiza nchini kuepuka usumbufu.  

Mkaguzi wa TBS Bw Anderson Msumanje akiendelea na ukaguzi wa majengo ya hoteli na ya kuhifadhia chakula katika eneo la Makuyuni Mjini .
TBS imefanya ukaguzi wa bidhaa sokoni ikiwa ni pamoja na majengo yanayohifadhi chakula na vipodozi katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha.

Post a Comment

Previous Post Next Post