RUVUMA:Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano Bw. Richard Kayombo kutoka TRA Makao Makuu leo tarehe 19/12/2024 amekutana na Wafanyabiashara wa Wilaya ya Mbinga katika ukumbi wa FDC na kuwashukuru kwa kulipa kodi zao kwa hiari na kwa wakati na kuuwezesha Mkoa wa Ruvuma na Taasisi kwa ujumla kuvuka malengo iliyopangiwa na serikali, sambamba na zoezi hili la kuwashukuru Wafanyabiashara pia Mkurugenzi amekata keki na kuwalisha viongozi wa wafanyabiashara na wafanyabiashara wengine . Pia amewahamasisha Wafanyabiashara wa Mkoa wa Ruvuma walipe kodi zao za awamu ya nne mapema kabla ya tarehe 31/12/2024.