MKURUGENZI WA UKAGUZI NA BIASHARA YA MADINI WA TUME YA MADINI AONGOZA KIKAO KATI YA TUME NA TRA KUHUSU USIMAMIZI WA SEKTA YA MADINI

 Leo tarehe 12 Machi, 2021 Mkurugenzi wa Ukaguzi na Biashara ya Madini wa Tume ya Madini, Venance Kasiki ameendelea kuongoza kikao kati ya watendaji kutoka Tume ya Madini na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Kikao hicho cha siku mbili chenye lengo la kujadili namna ya utekelezaji wa mkataba wa utendaji kazi uliosainiwa Septemba, 2020 kina lengo la kuwapa watendaji uelewa wa pamoja kuhusu  ukusanyaji wa maduhuli na kujadili changamoto mbalimbali zinazojitokeza wakati wa utekelezaji na kuzipatia ufumbuzi





.

Post a Comment

Previous Post Next Post