MKUTANO WA WAFANYABIASHARA WA MAZAO YA NAFAKA

 

…………………………………………………………………………

Dodoma, 

Waziri wa Kilimo Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) anawaalika wafanyabiashara wa mazao ya nafaka kwenye mkutano wa kujadili fursa za masoko ya mazao ya nafaka.

Mkutano huo utafanyika tarehe 13 Februari, 2021 katika ukumbi wa hoteli ya Morena Jijini Dodoma kuanzia saa 3 asubuhi.

Kwa maelezo zaidi juu ya ushiriki wasiliana kwa namba 0713865052/ 0658860870

Post a Comment

Previous Post Next Post