WAZIRI WA MALIASILI DKT NDUMBARO AMPOKEA DREW BINSKY MWENYE WAFUASI ZAIDI YA MILIONI 30 KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

 

Mh Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Damas Ndumbaro kushoto akimpokea Drew Binsky, uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, Dar es salaam, Tanzania tarehe 27 Disemba 2020. Bw Drew ambaye anawafuasi zaidi ya 30 milioni kwenye mitandao ya kijamii na mkewe Diana wanatembelea vivutio vya utalii Tanzania.

Mh Waziri wa Maliasili na Utalii akimuonyesha kitu  Drew Binsky, uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere, Dar es salaam, Tanzania tarehe 27 Disemba 2020 wakati alipompokea leo.

Bw Drew ambaye anawafuasi zaidi ya 30 milioni kwenye mitandao ya kijamii na mkewe Diana wanatembelea vivutio vya utalii Tanzania.

Mh Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Damas Ndumbaro akiteta jambo na Drew Binsky wakati alipokwenda kumpokea uwanja wa ndege wa Mw

Post a Comment

Previous Post Next Post