OFISI YA MAKAMU WA RAIS, WATAALAMU WAKUTANA KUFANYA MABORESHO YA MFUMO WA KUSIMAMIA MABADILIKO YA TABIANCHI

Afisa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, George Kafumu akizungumza wakati wa kikao kati ya Ofisi hiyo na jopo la wataalamu kutoka sekta mbalimbali kwa ajili ya kazi ya kuupitia mfumo wa kusimamia masuala ya kuhimili mabadiliko ya tabianchi (Adaptation Knowledge Management System – AKMS) chini ya Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo ya Ikolojia (EBARR) kilichofanyika leo Desemba 15, 2020 katika Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) mjini Morogoro. Wadau hao wajumbe wana jukumu la kuhakikisha mfumo huo unakidhi matakwa katika sekta zote za mazingira zikiwemo kilimo, mifugo, misitu na uvuvi.

Afisa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Makuru Nyarobi akizungumza wakati wa kikao kati ya Ofisi hiyo na jopo la wataalamu kutoka sekta mbalimbali kwa ajili ya kazi ya kuupitia mfumo wa kusimamia masuala ya kuhimili mabadiliko ya tabianchi (Adaptation Knowledge Management System – AKMS) chini ya Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo ya Ikolojia (EBARR).

Mshauri wa masuala ya teknolojia ya mawasiliano, Richard Urassa akitoa maelezo kuhusu mfumo wa kusimamia masuala ya kuhimili mabadiliko ya tabianchi (Adaptation Knowledge Management System – AKMS) chini ya Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo ya Ikolojia (EBARR) kilichofanyika leo Desemba 15, 2020 katika Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) mjini Morogoro.

Mtaalamu wa Mabadiliko ya Tabianchi kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Dkt. Sara Osima akizungumza wakati wa kikao kati ya Ofisi hiyo na jopo la wataalamu kutoka sekta mbalimbali kwa ajili ya kazi ya kuupitia mfumo wa kusimamia masuala ya kuhimili mabadiliko ya tabianchi (Adaptation Knowledge Management System – AKMS) chini ya Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo ya Ikolojia (EBARR).

Post a Comment

Previous Post Next Post