TBS Yatoa elimu kwa wauzaji wa mafuta barabarani

     Kaimu Mkuu wa Kanda ya Kati(TBS),Bi. Salome Emmanuel akitoa elimu ya uhifadhi na vifungashio bora, kwa wauzaji wa mafuta ya kula katika eneo la Pandambili .Wauzaji walisisitizwa kuuza bidhaa kwenye kifungashio chenye taarifa sahihi ikiwemo jina la mzalishaji, anwani, namba ya toleo, tarehe ya kuzalishwa, tarehe ya kumaliza muda wake na aina ya bidhaa pamoja na kuhifadhi mafuta sehemu yenye kivuli ili kuzuia uharibifu unaoweza kutokea pale yanapopigwa na jua.

Post a Comment

Previous Post Next Post