
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Mhe. William Vangimembe Lukuvi, Area D jijini Dodoma Machi 26, 2026.
Mhe. Lukuvi amefariki dunia tarehe Machi 25, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma alipokuwa anapatiwa matibabu.