BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO(NCAA) YAANZA VIKAO VYAKE NGAZI YA KAMATI ZA KISEKTA

Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Mkuu wa Majeshi mstaafu  Jenerali Venance Salvatory Mabeyo imeanza Vikao vya Bodi hiyo ngazi ya Kamati za Kisekta  kujadili utekelezaji wa Majukumu mbalimbali ya shirika kwa kipindi cha miezi 6 iliyopita (Julai- Desemba 2025) mwaka  wa Fedha 2025/2026

Post a Comment

Previous Post Next Post