Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Bw. Abdul-Razaq Badru (kulia) akizungumza na viongozi mbalimbali wakati wa kikao cha Wenyeviti wa Bodi na wakuu wa Taasisi kinachofanyika katika ukumbi wa AICC Jijini Arusha kuanzia tarehe 23-25 Agosti, 2025.
KAMISHNA MKUU NCAA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAKUU WA TAASISI MBALI MBALI ZA UMMA
byJMABULA BLOG
-
0