WAZIRI MKUU AFUNGUA KIKAO KAZI CHA TRA

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea tuzo kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan  aliyokabidhiwa na Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kwa kutambua na kuthamini mchango wa Rais kwa kua mhamasishaji namba moja wa utoaji kodi wa hiari kwa maendeleo ya nchi yetu na uwekezaji mkubwa anaofanya kwa TRA, baada ya kufungua kikao kazi cha Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (IACC), jijini Arusha Julai 5, 2025. Kushoto ni Kamishna Mkuu wa TRA Yusuph Mwenda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, mara baada ya kufungua kikao kazi cha Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (IACC), jijini Arusha Julai 5, 2025. Kushoto ni Kamishna Mkuu wa TRA Yusuph Mwenda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza, baada ya kufungua kikao kazi cha Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (IACC), jijini Arusha Julai 5, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Previous Post Next Post