WAZIRI BASHUNGWA KUFUNGUA MKUTANO WA WAHASIBU WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA (AAAG)

 

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amemwakilisha Waziri Mkuu, Mhe. Kasim Majaliwa Majaliwa (Mb) katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Mwaka wa Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika (AAAG) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha, kuanzia leo tarehe 02 - 06 Disemba 2024.

Mkutano huo umehudhuriwa na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) pamoja na viongozi mbalimbali kutoka nchi za Afrika ambapo umelenga kuwakutanisha Wahasibu Wakuu wa Serikali na wadau ili kubadilishana uzoefu na kuimarisha ushirikiano katika usimamizi wa fedha za Umma barani Afrika.






Post a Comment

Previous Post Next Post