KAMATI YA KILIMO, BIASHARA NA UTALII BARAZA LA UWAKILISHI ZANZIBAR YATEMBELEA OFISI ZA MAKAO MAKUU TBS

 

Kamati ya Kilimo, Biashara na Utalii Baraza la Uwakilishi Zanzibar ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Yusuph Hassan Iddi wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Udhibiti Ubora TBS, Bw.Gervas Kaisi namna Ofisi ya TBS bandarini inavyofanya shughuli zake mara l ya Kamati hiyo kutembelea Ofisi hiyo leo Machi 7,2023 Jijini Dar es Salaam   Kamati ya Kilimo, Biashara na Utalii Baraza la Uwakilishi Zanzibar ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Yusuph Hassan Iddi wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Udhibiti Ubora TBS, Bw.Gervas Kaisi namna Ofisi ya TBS bandarini inavyofanya shughuli zake mara baada ya Kamati hiyo kutembelea Ofisi hiyo leo Machi 7,2023 Jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Biashara na Utalii Baraza la Uwakilishi Zanzibar Mhe. Yusuph Hassan Iddi akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dkt. Athuman Ngenya mara baada ya Kamati hiyo kufanya ziara katika Ofisi za TBS bandarini leo  Machi 7,2023 Jijini Dar es Salaam. 


Post a Comment

Previous Post Next Post