No title

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt John Antony Jingu akizungumza wakati wa ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi la Tume ya Taifa ya Uchaguzi lililokutana leo Februari 23,2023 jijini Dodoma. Dkt Jingu amehimiza ubunifu, Uadilifu, uwajibikaji miongoni mwa watushi na ushiriki wa michezo kwaajili ya kuwajengea afya watumishi mahala pa kazi.

Wajumbe wa baraza la Wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt John Antony Jingu wakati akifungua baraza hilo.

Post a Comment

Previous Post Next Post