TRA YAKAMATA MAROBOTA YA VITENGE VYA MAGENDO

 

Naibu Kamishna wa Upelelezi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Robert Manyama akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya kukamatwa jumla ya marobota 507 ya vitenge yaliyoingizwa nchini na Mfanyabiashara raia wa China kwa njia za magendo kupitia Kampuni yake inayoitwa Kapansky Company Limited na kuhifadhi mzigo huo kwenye Ghala la Kampuni ya Shinyanga Emporium lililopo Vingunguti jijini Dar es Salaam ukiwa hauna nyaraka zozote za forodha.
Marobota ya vitenge yaliyokamatwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yakiwa yameingizwa nchini na Mfanyabiashara raia wa China kwa njia za magendo kupitia Kampuni yake inayoitwa Kapansky Company Limited na kuhifadhi mzigo huo kwenye Ghala la Kampuni ya Shinyanga Emporium lililopo Vingunguti jijini Dar es Salaam ukiwa hauna nyaraka zozote za forodha.
Marobota ya vitenge yaliyokamatwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yakiwa yameingizwa nchini na Mfanyabiashara raia wa China kwa njia za magendo kupitia Kampuni yake inayoitwa Kapansky Company Limited na kuhifadhi mzigo huo kwenye Ghala la Kampuni ya Shinyanga Emporium lililopo Vingunguti jijini Dar es Salaam ukiwa hauna nyaraka zozote za forodha
Naibu Kamishna wa Upelelezi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Robert Manyama (kushoto) akioneshwa marobota ya vitenge yaliyokamatwa na TRA yakiwa yameingizwa nchini na Mfanyabiashara raia wa China kwa njia za magendo kupitia Kampuni yake inayoitwa Kapansky Company Limited na kuhifadhi mzigo huo kwenye Ghala la Kampuni ya Shinyanga Emporium lililopo Vingunguti jijini Dar es Salaam ukiwa hauna nyaraka zozote za forodha. Kushoto ni Meneja wa Idara ya Ukaguzi wa Kodi kutoka TRA Bw. Deogratius Shilima.

Meneja wa Idara ya Upepelezi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Deogratius Shilima akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu namna ambavyo TRA ilifanikiwa kukamata marobota ya vitenge yaliyoingizwa nchini kinyume cha sheria. Marobota hayo yaliingizwa nchini na Mfanyabiashara raia wa China kwa njia za magendo kupitia Kampuni yake inayoitwa Kapansky Company Limited na kuhifadhi mzigo huo kwenye Ghala la Kampuni ya Shinyanga Emporium lililopo Vingunguti jijini Dar es Salaam ukiwa hauna nyaraka zozote za forodha.

Post a Comment

Previous Post Next Post