Makamu wa Rais Dk Philip Mpango akiagana na Katibu Mkuu wa Baraza la Diaspora Watanzania Duniani TDC GLOBAL. Ndugu Adolph Nyagabona Makaya


 Katibu Mkuu wa Baraza la Diaspora Watanzania Duniani TDC GLOBAL. Ndugu Adolph Nyagabona Makaya. Akiagana na Mhe. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Baada ya Mkutano wa Mhe. Makamu wa Rais na viongozi wa Diaspora uliofanyika Stockholm Sweden tarehe 04 Juni 2022.

Post a Comment

Previous Post Next Post