Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba akipokea taarifa ya utekelezaji wa miradi ya vituo vya kupokea na kupoza umeme vya Uhuru Wilaya ya Urambo na Ipole




 Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba akipokea taarifa ya utekelezaji wa miradi ya vituo vya kupokea na kupoza umeme vya Uhuru Wilaya ya Urambo na Ipole Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora, alipowasili kushiriki ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Mei 17, 2022.

Vituo hivyo vitapeleka umeme wa gridi ya Taifa Mikoa ya Katavi na Kigoma ambayo bado inatumia umeme wa mafuta ya diseli.

Post a Comment

Previous Post Next Post