TUME YA MADINI YAUPIGA MSASA MGODI WA STAMIGOLD KUHUSU USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KWENYE SEKTA YA MADINI

Tume ya Madini kupitia Kitengo chake cha Ukaguzi wa Fedha, Kodi na Ushirikishwaji wa Watanzania(Local Content)  inaendesha mafunzo ya siku mbili ya ushirikishwaji wa watanzania katika Sekta ya Madini (Local Content) kwenye mgodi wa Stamigold Company Limited. Mafunzo hayo yanahusisha wafanyakazi kutoka idara mbalimbali za mgodi huo.





Post a Comment

Previous Post Next Post