TUME YA MADINI YAENDELEA KUTOA ELIMU KWENYE MKUTANO WA KIMATAIFA WA MADINI JIJINI DAR ES SALAAM

 Tume ya Madini leo tarehe 22 Februari, 2022 inaendelea kutoa elimu kwa wadau mbalimbali wanaohudhuria mkutano wa kimataifa wa uwekezaji kwenye Sekta ya Madini unaoendelea katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. *Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali.






Post a Comment

Previous Post Next Post