UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI KISARAWE II WAFIKIA ASILIMIA 55

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa miradi DAWASA Mhandisi Ramadhani Mtindasi (wa kwanza kulia) kuhusu utekelezaji wa mradi wa maji Kigamboni unaohusisha uendelezaji wa visima virefu vya Maji na ujenzi wa tanki la lita 15 ambao utekelezaji wake umefikia asilimia 55.

*****************************

Post a Comment

Previous Post Next Post