KAMPENI KABAMBE YA MAZINGIRA YAMFURAHISHA BALOZI WA NORWAY

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo akiwa katika kikao na Balozi wa Norway, Mhe. Elisabeth Jacobsen (wa pili kushoto) aliyeambatana na Mchumi wa Norway, Bw. Bw. Trond Heyerdahi Augdal ofisini kwa waziri jijini Dodoma leo Juni 9, 2021. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Mazingira, Dkt. Andrew Komba na Afisa Mazingira, Bi. Hadija Kayera.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo akiwa katika kikao na Balozi wa Norway, Mhe. Elisabeth Jacobsen (wa pili kushoto) aliyeambatana na Mchumi wa Norway, Bw. Bw. Trond Heyerdahi Augdal (hawapo pichani) ofisini kwa waziri jijini Dodoma leo Juni 9, 2021.  

Balozi wa Norway, Mhe. Elisabeth Jacobsen na Mchumi wa Norway, Bw. Bw. Trond Heyerdahi Augdal wakiwa katika kikao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo walipomtembelea na kufanya nae mazungumzo ofisini kwake jijini Dodoma leo Juni 9, 2021.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Norway nchini, Mhe. Elisabeth Jacobsen pamoja na wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kufanya kikao leo Juni 9, 2021.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Norway nchini, Mhe. Elisabeth Jacobsen mara baada ya kufanya kikao leo Juni 9, 2021.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

*************************************

Balozi wa Norway nchini, Mhe. Elisabeth Jacobsen ameoneshwa kufurahishwa na Kampeni Kabambe ya Uhifadhi na Usafi wa Mazingira iliyozinduliwa Juni 5, 2021 jijini Dodoma.

Hayo yamebainika wakati wa kikao kati ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo na Balozi huyo kilichofanyika leo Juni 9, 2021 ofisini kwake jijini Dodoma.

Balozi Elisabeth alisema kwake kampeni hiyo imemgusa kwa kiasi kikubwa na hivyo amefika katika Ofisi ya Makamu wa Rais kukutana na Waziri Jafo pamoja na wataalamu wa mazingira ili kuona namna gani wanashiriki kuiunga mkono.

Aliishukuru na kuipongeza Tanzania kwa kampeni hiyo na kuahidi kuwa Norway itaiunga mkono Tanzania ili iweze kuwa endelevu kwa maslahi mapana ya nchi na dunia kwa ujumla.

Kwa upande wake Waziri Jafo alimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha kuwa ameweka mazingira mazuri ya kidemokrasia kwa nchi yetu.

Alisema katika kikao na Balozi wa Norway, Mchumi kutoka Ubalozi huo, Bw. Trond Heyerdahi Augdal, Mkurugenzi wa Mazingira, Dkt. Andrew Komba na wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wamejadili mambo ya uhusiano katika mazingira.

Jafo alisema kuwa wamejadili namna ya kuendeleza ushirikiano katika miradi ya hifadhi na usimamzi wa mazingira nchini ukiwemo wa Kupunguza Hewa ya Ukaa na Kupunguza Ukataji Miti (REDD+).

 wenye thamani ya Dola za Marekani 1,096,830 ambapo Serikali ya Tanzania na Norway zipo katika hatua za mwisho za  mazungumzo ya kuingia makubaliano kwa ajili ya utekelezaji wa

Post a Comment

Previous Post Next Post