JAFO AKUTANA NA MAWAZIRI WANNE KUJADILI CHANGAMOTO ZA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KUTOKANA NA KELELE

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akiongoza kikao cha kujadili changamoto za uchafuzi wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumi zinazosababisha kelele na mitetemo kilichofanyika Dodoma leo Aprili 28, 20021.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Geofrey Mwambe, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dorothy Gwajima, Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa na Mkurugenzi wa Mazingira Dkt. Andrew Komba wakiwa katika kikao cha kujadili changamoto za uchafuzi wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumi zinazosababisha kelele na mitetemo kilichofanyika Dodoma leo Aprili 28, 20021.

Kuanzia kulia ni Waziri Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Hamad Hassan Chande, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga na Naibu Naibu Katibu Mkuu Mohammed Abdallah Khamis wakiwa katika kikao cha kujadili changamoto za uchafuzi wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumi zinazosababisha kelele na mitetemo kilichofanyika Dodoma leo Aprili 28, 20021.

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samwel Gwamaka akiwasilisha taarifa kuhusu hali ya uchafuzi wa mazingira kutokana na kelele na mitetemo na hatua zilizochukuliwa kukabiliana na changamoto hizo.

 

Washiriki wakiwa katika kikao cha kujadili changamoto za uchafuzi wa mazingira kutokana na shughuli za kiuchumi zinazosababisha kelele na mitetemo kilichofanyika Dodoma leo Aprili 28, 20021.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

Post a Comment

Previous Post Next Post