Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe.
Mhandisi Marwa Rubirya akiwahutubia wafanyabishara wa mjini Njombe
(hawapo pichani) katika ukumbi wa Turbo wakati wa hafla fupi ya ufunguzi
wa semina ya wafanyabiashara hao iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA) kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea
mkoani humo. 
Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi wa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. James Ntalika
akiwasilisha mada kuhusu kodi na umuhimu wake wakati wa semina ya
wafanyabiashara iliyoandaliwa na Mamlaka hiyo kufuatia kampeni ya elimu
kwa mlipakodi inayoendelea mkoani Njombe.
Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi wa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. James Ntalika
akiwasilisha mada kuhusu kodi na umuhimu wake wakati wa semina ya
wafanyabiashara iliyoandaliwa na Mamlaka hiyo kufuatia kampeni ya elimu
kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo. 
Wafanyabiashara wa Mkoa wa Njombe
wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Mhandisi Marwa
Rubirya (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa semina ya
wafanyabiashara hao iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo.
Wafanyabiashara wa Mkoa wa Njombe wakifuatilia kwa makini hotuba ya
Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Mhandisi Marwa Rubirya (hayupo pichani) wakati wa
hafla fupi ya ufunguzi wa semina ya wafanyabiashara hao iliyoandaliwa na
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufuatia kampeni ya elimu kwa
mlipakodi inayoendelea mkoani humo.

Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. Isihaka Shariff
akimuelimisha mfanyabiashara wa Halmashauri ya Mji Mdogo wa Makambako
mkoani Njombe wakati wa elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo. 
Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bi. Dinah Lwaga
akimuelimisha Bw. Samwel Meshack ambaye ni mfanyabiashara wa Halmashauri
ya Mji Mdogo wa Makambako mkoani Njombe wakati wa kampeni ya elimu kwa
mlipakodi inayoendelea mkoani humo. 
Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bi. Dinah Lwaga
akimuelimisha Bw. Samwel Meshack ambaye ni mfanyabiashara wa Halmashauri
ya Mji Mdogo wa Makambako mkoani Njombe wakati wa kampeni ya elimu kwa
mlipakodi inayoendelea mkoani humo.
Afisa
Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu
Bw. Chama Siriwa akimuelimisha Bw. Stanley Ponela ambaye ni
mfanyabiashara wa Halmashauri ya Mji Mdogo wa Makambako mkoani Njombe
wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani
humo. (PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO)