TMDA YAENDELEA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONESHO YA TANO YA BIDHAA ZA VIWANDA

 

Meneja Mawasiliano na Elimu kwa Umma,wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA),Gaudensia Simwanza akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliotembelea katika Banda la Mamlaka hiyo leo kwenye maonesho ya Bidhaa za Viwandani yanayoendelea viwanja wa Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam. 

Meneja Mawasiliano na Elimu kwa Umma,wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA),Gaudensia Simwanza akimuonesha moja ya dawa zilizopo kwenye maonesho hayo wakati akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliiotembelea katika Banda la Mamlaka hiyo leo kwenye maonesho ya Bidhaa za Viwandani yanayoendelea viwanja wa Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam. 

Bw.Hussein Makame Afisa Elimu kwa Umma na Huduma kwa Wateja Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA akitoa maelezo kwa wananchi waliofika kwenye Banda Hilo leo katika maonesho ya Bidhaa za Viwandani yanayfanyika viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam. 

Baadhi ya wananchi wakipata maelezo mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA wakati walipotembelea Banda Hilo leo katika maonesho ya Bidhaa za Viwandani yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam 

Post a Comment

Previous Post Next Post