PROF.NDALICHAKO AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MENEJIMENTI YA WIZARA YA ELIMU JIJINI DODOMA

 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Joyce Ndalichako na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Kipanga Juma Omary wakisalimiana na watumishi wa wizara hiyo mara baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara zilizopo eneo la Mtumba jijini Dodoma. 

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na Menejimenti ya Wizara hiyo mara baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara zilizopo eneo la Mtumba jijini Dodoma. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akisalimiana na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Kipanga Juma Omary mara baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara zilizopo eneo la Mtumba jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Kipanga Juma Omary akisalimiana na Mkurugenzi Uthibiti Ubora wa Shule Euphrasia Buchuma mara baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara, zilizopo eneo la Mtumba jijini Dodoma.

Post a Comment

Previous Post Next Post