MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO (NCAA) YATETA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI

 

Katibu Mkuu wa Wiara ya Maliasili na Utalii Dk. Aloyce Nzuki akifungua semina ya wahariri wa vyombo vya habari na waandishi waandamizi wa Vyombo mbalimbali vya habari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA)inayofanyika katika makao makuu ya hifadhi hiyo Karatu Mkoani Arusha.

(PICHA NA JOHN BUKUKU, NGORONGORO-ARUSHA)

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Dk. Fredy Manongi akimkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii ili kufungua semina hiyo iliyoanza leo katika makao makuu ya Mamlaka hiyo wilayani Karatu.

 Abubakary Famau kutoka Shirika la Habari la BBC pamoja na washiriki wengine wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo.

Baadhi ya makamishna wa uhifadhi wakishiriki katika semina hiyo iliyokutanisha wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari na waandishi waandamizi kutoka vyombo vya habari.

Mwandishi kutoka ITV Falhiya Midleji pamoja na wahariri mbalimbali wakifuatilia mada katika semina hiyo.

Kamishna wa Uhifadhi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Bi. Joyce Mgaya akiwakaribisha wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari na waandishi wa habari kabla ya kuanza kwa semina hiyo.

Dk. Victor Kakenke Mtafiti kutoka TAWIRI akiwasilisha mada katika semina hiyo inayofanyika kwenye makao makuu ya mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Karatu Mkoani Arusha.

Baadhi ya makamishna wa Uhifadhi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kutoka vitengo mbalimbali wakiwa katika semina hiyo.

Mhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro NCAA Elibariki Bajuta akiwasilisha mada kuhusu uhifadhi katika mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro NCAA na changamoto zake.

Injini Joshua Mwankunda Mkuu wa Idara ya Mambo ya kale kiwasilisha mada katikasemina hiyo inayofanyika Makao Mkuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro NCAA Karatu Mkoani Erusha

Post a Comment

Previous Post Next Post