Kamishna wa Wanyamapori Kamishna Mabula Misingwi
***************************
Wizara ya Maliasili na Utalii imeongeza Mikoa 3 ya kuanzisha mabucha ya wanyamapori Mikoa hiyo ni Songwe,Rukwa na Mara hivyo bucha itakuwa Mikoa yote 26 ya tanzania bara,imeongezwa baada ya Serikali kukamilisha taratibu zote za kuanzisha bucha.
Imetolewa na Kamishna wa Uhifadhi kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa wanyamapori
