DKT.NZUKI AMEKAA KIKAO NA WADAU MBALIMBALI KUJADILI HALI UHIFADHI NA UENDESHAJI WA MAENEO YA MALIKALE

 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K. Nzuki akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kufungua Kikao cha kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara kilichofanyika jana katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS ) Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro. 

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt Aloyce. K. Nzuki akifafanua jambo wakati wa Kikao cha Kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara kilichofanyika katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS ) Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Malikale Dkt. Fabian Kigadye. 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K. Nzuki akifurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Dkt. Noel Lwoga (katikati) pamoja na Mtaalam wa Malikale Prof. Audax Mabula mara baada ya ufunguzi wa Kikao cha kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara kilichofanyika katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS ) Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro. 

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Malikale, Dkt. Fabian Kigadye akizungumza katika Kikao cha kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara  kilichofanyika katika  Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS ) Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro. 

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K. Nzuki akitoa Hotuba ya Ufunguzi katika Kikao cha kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara kilichofanyika jana katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS ) Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro. Aliyekaa Kushoto kwa Katibu Mkuu, ni Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Kale, Dkt. Fabian Kigadye na (kulia) ni Kaimu Mkurugenzi wa Uhifadhi na teknolojia – Idara ya Mambo ya Kale, Dr. Bwasiri Emmanuel. 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce K. Nzuki akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kikao cha kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za wizara kilichofanyika jana mjini Morogoro. 
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa wakati wa kikao cha kujadili Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara kilichofanyika katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS ) Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro. 
Washiriki wa Kikao cha Kujadili Hali ya Uhifadhi na Uendelezaji wa Maeneo ya Malikale yaliyokasimishwa kwa Taasisi za Wizara, wakifuatilia kwa makini Hotuba ya Ufunguzi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce K. Nzuki (Hayumo pichani) kwenye ukumbi wa  Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, (TFS) Kituo cha Mbegu 

Post a Comment

Previous Post Next Post