Dkt Hamisi Kigwangwalla Awania Tena Ubunge Wa Nzega, Arejesha Fomu Mapemaa

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangalla (kushoto)  akirejesha leo fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Nzega Vijijini  kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nzega Said Goha (kulia)

Post a Comment

Previous Post Next Post