TBS YASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

 


Afisa Udhibiti Ubora (TBS) Bw. Ismail Laizer akitoa elimu kuhusu masuala ya viwango kwa wananchi waliohudhuria maonesho ya nanenane yaliyofanyika katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.

TBS imewasisitiza wananchi kutotumia vipodizi vyenye viambata sumu kwa ajili ya usalama wa kiafya.

Post a Comment

Previous Post Next Post