MAFUNZO KWA VITENDO


Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe akiangalia mdoli wenye muonekano wa binadamu (Manikin) ambao umeunganishwa na teknolojia inayowezesha mdoli huo kujieleza namna inavyoumwa wakati huduma ikitolewa. Midoli hii ambayo inatumika kwa mafunzo kwa vitendo (Skills Lab) katika Chuo Kikuu cha Aga Khan nchini Pakistan huwawezesha wanafunzi na watoa huduma kuelewa kwa haraka hali ya mgonjwa na huduma stahiki ya kutolewa jambo ambalo ni muhimu kwa wanafunzi kujifunza kwa vitendo.








 


Post a Comment

Previous Post Next Post