WAZIRI AWESO ASHIRIKI KIKAO CHA MENEJIMENTI YA WIZARA YA MAJI

 

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akishiriki kikao na menejimenti ya Wizara ya Maji. Kikao kimejikita katika masuala mtambuka kuhusu Sekta ya Maji nchini na kimefanyika Mtumba, jijini Dodoma 

Post a Comment

Previous Post Next Post