TRA WAWASHUKURU GF TRUCK LTD NA LINDI EXPRESS LTD

 



Kaimu Kamishna Msaidizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ldara ya Kodi za ndani, kitengo cha walipakodi wa kati  Godwin Barongo pamoja na Watumishi wa kitengo hicho wamewatembelea baadhi ya Wafanyabiashara wa kitengo hicho wa GF Truck Ltd waliopo Tazara jijini Dar es Salaam Desemba 20, 2024.Kwaajili ya  kuwashukuru kwa kuendelea kulipa kodi zao kwa hiari na kwa wakati pamoja na kusikiliza changamoto wanazokumbana nazo katika ufanyaji wa biashara Kwa lengo la kuzitatua pamoja na kuwakumbusha walipe zao awamu ya nne bila kuchelewa.


Kaimu Kamishna Msaidizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ldara ya Kodi za ndani, kitengo cha walipakodi wa kati  Godwin  Barongo pamoja na Watumishi wa kitengo hicho wamewatembelea baadhi ya Wafanyabiashara wa Kitengo hicho waliopo  Lindi Express Ltd, Upanga  kwaajili ya  kuwashukuru kwa kuendelea kulipa kodi zao kwa hiari na kwa wakati pamoja na kusikiliza changamoto wanazokumbana nazo katika ufanyaji wa biashara Kwa lengo la kuzitatua pamoja na kuwakumbusha Kulipa zao awamu ya nne bila kuchelewa.

Post a Comment

Previous Post Next Post