KAIMU KATIBU MKUU UTUMISHI AVUTIWA NA UBUNIFU WA UTOAJI MAFUNZO KWA WATUMISHI

 

Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi akizungumza na watumishi wa ofisi yake wakati wa mafunzo yaliyolenga kuwajengea uwezo watumishi hao katika masuala ya utendaji kazi yaliyofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.

Sehemu ya Wakurugenzi na Watumishi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu wa ofisi hiyo, Bw. Xavier Daudi (hayupo pichani) wakati akizungumza nao kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi hao katika masuala ya utendaji kazi yaliyofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Nyasinde Mukono akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Xavier Daudi (hayupo pichani) kuzungumza na watumishi kabla ya kuanza mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi hao katika masuala ya utendaji kazi yaliyofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.

Sehemu ya Wakurugenzi wasaidizi na watumishi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu wa ofisi hiyo, Bw. Xavier Daudi (hayupo pichani) wakati akizungumza nao kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi hao katika masuala ya utendaji kazi yaliyofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.

Afisa Tehama Mkuu, Bi. Zalika Hussein akiwasilisha mada kuhusu matumizi ya Mfumo wa Ofisi Mtandao (e-office) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi hao katika utendaji kazi yaliyofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.

Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu wa ofisi hiyo, Bw. Xavier Daudi (hayupo pichani) wakati akizungumza nao wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi hao katika masuala ya utendaji kazi yaliyofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.

Mtumishi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Shukrani Mshigati, akichangia hoja wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi hao katika utendaji kazi yaliyofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.

Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu wa ofisi hiyo, Bw. Xavier Daudi (hayupo pichani) wakati akizungumza nao kwenye mafunzo yaliyohusu kuwajengea uwezo watumishi hao katika masuala ya utendaji kazi yaliyofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.

Waratibu wa mafunzo kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakifuatilia mafunzo yaliyohusu kuwajengea uwezo watumishi hao katika masuala ya utendaji kazi yaliyofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.

Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakifuatilia mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi hao katika masuala ya utendaji kazi yaliyofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.

Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi (aliyesimama) akizungumza jambo na watumishi wa ofisi yake wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi hao katika masuala ya utendaji kazi yaliyofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.

Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakifuatilia mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi hao katika masuala ya utendaji kazi yaliyofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.

Post a Comment

Previous Post Next Post