Mkurugenzi Mtendaji wa TFRA akitoa Cheti kwa Mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya Mbolea mkoa wa Katavi


Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Joel Laurent akitoa cheti kwa  Meshach J Luyombya baada ya kushiriki na kuhitimu mafunzo ya mbolea yaliyofanyika katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Katavi hivi karibuni

Post a Comment

Previous Post Next Post