Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Bi. Latifa Khamiai (katikati) akizungumza alipokuwa akitoa mada katika mdahalo maalum uliohusu ukuaji wa Kampuni za Kitanzania wakati wa Kongamano la Kimataifa la Biashara kati ya Jumuiya ya Ulaya na Tanzania (EU -Tanzania Business Forum) likilofanyika kwa siku mbili Februari 23 na 24,2023 Jijini Dar es Salaam. (Kushoto), ni ….na (kulia), ni Kaimu Mkurugenzi na Mratibu wa mpango wa kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI) Bw. Baraka Aligaesha.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Bi. Latifa Khamis akifafanua jambo kuhusu shughuli za Taasisi anayoiongoza katika kuhakikisha Bidhaa za Tanzania zinapata soko katika Jumuiya ya Ulaya.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Bi. Latifa Khamis (wa tatu kulia) akiwa na wana jopo wengine walioshiriki Mdahalo huo uliofanyika Februari 24,2023 kakika Kongamano la Kimataifa la Biashara kati ya Jumuiya ya Ulaya na Tanzania (EU -Tanzania Business Forum) Jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko ya Nje TANTRADE Grace Lemunge (kulia) akifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa na Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Bi. Latifa Khamis (hayumo) katika mdahalo huo.
Ofisa Biashara Mwandamizi TANTRADE Dorothy Urio (kushoto) akifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na na Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Bi. Latifa Khamis(hayumo pichani), wakati wa Kongamano hilo Jijini Dar es Salaam
Mfanyabiasha wa Tanzania Amir Esmail akizungumza Katika Mdahalo.
(PICHA ZOTE NA: HUGHES DUGILO)