No title

 


Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi (katikati) akiongea kwenye hafla ya makabidhiano ya kompyuta baina ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) na Tume ya Utumishi wa Umma jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu wa Tume Bw. Mathew Kirama na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa WCF Dkt. John Mduma.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi (mwenye tai nyekundu) akikabidhi kompyuta kwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bw. Mathew Kirama (kulia) kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa WCF Dkt. John Mduma (kushoto). Wanaoshuhudia ni watumishi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) pamoja na wa Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi (mwenye tai nyekundu) akikabidhi kompyuta kwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bw. Mathew Kirama (kulia) kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa WCF Dkt. John Mduma (kushoto)

Post a Comment

Previous Post Next Post