KATIBU MKUU MWAKALINGA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI DARAJA LA SELANDER DAR

 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga akipata ufafanuzi kutoka kwa msimamizi wa mradi wa ujenzi wa Daraja la Selander, Lee Suk Joe alipokagua maendeleo ya ujenzi huo jijini Dar es Salaam.

Muonekano wa moja ya nguzo za daraja la Selander la jijini Dar es salaam, ambalo ujenzi wake unaendelea.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Arch. Elius Mwakalinga akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi wa Barabara wa Wizara ya Ujenzi, Eng. Rogathe Hussein Mativila (kulia) na Mkurugenzi wa Miradi wa TANROADS, Eng. Chrispianus Ako (kushoto) alipokagua daraja la Selander jijini Dar es Salaam.

Mhandisi wa Madaraja Eng. Lulu Dunia, akisisitiza jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga alipokagua daraja la Selander jijini Dar es Salaam.

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Barabara wa Wizara ya Ujenzi, Eng. Rogathe Hussein Mativila (kulia) na Mkurugenzi wa Miradi wa TANROADS, Eng. Chrispianus Ako (kushoto) alipokagua daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

Previous Post Next Post