TUME YA MADINI YAIBUKA KIDEDEA KWENYE MAONESHO YA SABASABA

TUME ya Madini leo tarehe 13 Julai, 2020 imekuwa mshindi kwenye Kundi la Nishati na Madini kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba yaliyomalizika leo katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Katibu Mtendaji tume ya madini, Profesa Shukrani Manya akiwa ameshika tunzo waliopata katika kipengele Cha madini na gesi wameibuka washindi wa kwanza

Post a Comment

Previous Post Next Post